Kikuni-Boazi

Kikuni-Boazi ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakuni-Boazi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikuni-Boazi imehesabiwa kuwa watu 4500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikuni-Boazi iko katika kundi la Kimarind.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search